iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Hassan Rouhani jioni ya leo amekula kiapo cha kuwa rais wa 7 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kipindi kingine cha miaka minne kwa kuahidi mbele ya Qur'ani tukufu kwamba atalinda Uislamu, Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu na Katiba ya nchi.
Habari ID: 3471106    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/05