Uislamu Duniani
IQNA - Jumuiya ya Kiislamu ya Peru huko Lima imetunukiwa zawadi ya nakala 50 za Qur'ani Tukufu zenye tarjuma ya Kihispania.
Habari ID: 3479760 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/16
IQNA – Kituo cha Kiislamu kinachojulikana kama Centro Islámico huko Alief kinatazamiwa kuandaa sherehe kubwa ya ufunguzi wikendi hii kwani kituo hicho kinalenga kutoa nafasi kwa jamii kwa Waislamu wanaozungumza Kihispania katija mji wa Houston, Texas nchini Marekani.
Habari ID: 3479758 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/16
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kwa mataifa yanayozungumza Kihispania
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza katika salamu zake kwa mataifa yanayozungumza Kihispania juu ya kuzidi kujuana na kushirikiana mataifa yanayotetea haki na uadilifu.
Habari ID: 3476691 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/11
TEHRAN (IQNA)-Taasisi ya Masuala ya Kidini –Diyanet- ya Uturuki (TDV) imetoa zawadi ya nakala 20,000 za Qur'ani Tukufu ziliotarujumiwa kwa Kihispania kwa ajili ya kusambazwa katika nchi za Amerika ya Latini.
Habari ID: 3471388 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/12