saratani

IQNA

IQNA – Shorouk Marar ni mwanamke kutoka mji wa Beit Daqo, kaskazini-magharibi mwa al-Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu, ambaye ana kisa cha azma thabiti na imani ya kina.
Habari ID: 3481475   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/11/05

Muqawama
IQNA-Kiongozi wa harakati ya muqawama ya Hizbullah ya Lebanon ametaka juhudi za kimataifa za kuutokomeza utawala wa Kizayuni, akisema ni utawala huo ni 'uvimbe wa saratani" ambao lazima uondolewe.
Habari ID: 3478910   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/01

TEHRAN (IQNA)- Watoto kadhaa wanaougua saratani wamekutana na mwanazuoni wa ngazi za juu wa Mashia nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali al Sistani.
Habari ID: 3474679   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/15

TEHRAN (IQNA)- Msichana Mmisri mwenye ulemavu wa macho na ambaye pia aliugua saratani amehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3471593   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/14