iqna

IQNA

ubelgiji
Qurani Tukufu
IQNA - Eneo la Wallonia nchini Ubelgiji linasherehekea ufunguzi wa Msikiti wa Kanuni Sultan Süleyman huko Liège baada ya miaka 10 ya ujenzi uliotegemea wafadhili wa eneo hilo.
Habari ID: 3478503    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/13

Waislamu Ulaya
IQNA - Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu ilikataa rufaa dhidi ya sheria nchini Ubelgiji zinazopiga marufuku nyama ya Halal na Kosher.
Habari ID: 3478349    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/14

Siasa
TEHRAN (IQNA)- Assadollah Assadi, mwanadiplomasia wa Iran ambaye alikuwa akishikiliwa kinyuma cha sheria gerezani nchini Ubelgiji amerejea Tehran siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3477051    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/27

Bidhaa Halal
TEHRAN (IQNA) – Waliokuwa wakitaka marufuku uchinjaji nyama kwa msingi wa dini za Kiislamu na Kiyahudi nchini Ubelgiji wamepata pigo baada ya mswada wao kushindwa katika mji mkuu wa Brussels.
Habari ID: 3475395    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/19

TEHRAN (IQNA)- Ubelgiji imeondoa marufuku ya uvaaji vazi la stara ya mwanamke wa Kiislamu Hijabu iliyokuwa imewekwa kwa wale wanaoingia katika mahakama za nchi hiyo.
Habari ID: 3474677    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/15

TEHRAN (IQNA)- Takwimu zinaonesha kuwa, asilimia 76 ya vitendo vya chuki dhidi ya Waislamu nchini Ubelgiji mwaka 2017 vilihusu kushambuliwa wanawke Waislamu wanaovaa Hijabu.
Habari ID: 3471665    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/10

Kamati ya Kufuta Ubaguzi ya Umoja wa Mataifa imeikosoa serikali ya Brussels kutokana na mwenendo wake wa kinyonga katika kuanzisha taasisi ya kitaifa ya haki za binadamu.
Habari ID: 1380048    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/25