Lengo la kikao hicho ambacho kinafanyika kwa anuani ya "Benki ya Kiislamu, Mbinu za Kukusanya Riba" ni kuichagua Algeria kama kiongozi wa nchi za Afrika katika nyanja za huduma za benki ya Kiislamu.
Watayarishaji wa kikao hicho wanasema kuwa ni fursa ya kustawisha huduma za mfumo wa benki ya Kiislamu. Wanasisitiza kwamba, baada ya Aljeria kupata kibali cha kuanzisha Benki ya Kiislamu ya al Baraka mwanzoni mwa muongo wa 90, sasa nchi hiyo inataka kuwa miongoni mwa nchi zinazoongoza katika medani hiyo barani Afrika.315558