Tovuti ya taasisi hiyo imesema kuwa, kitabu hicho kinaakisi mifano ya sanaa ya kisasa ya Kiislamu ambayo imetumika katika pembe mbalimbali za dunia. Kitabu hicho kinachambua kwa urefu sanaa hiyo.
Kitabu hicho vilevile kina maelezo kuhusiana na athari ya sanaa hiyo ya Kiislamu katika nchi zisizo za Kiislamu na hasa za Magharibi. 365816