IQNA

Mkutano wa wanafunzi wa Kiislamu wa vyuo vikuu vya Uingereza

10:12 - February 28, 2009
Habari ID: 1749233
Mkutano wa tatu wa wanafunzi Waislamu wa vyuo vikuu nchini Uingereza umeanza shughuli zake mjini Tehran.
Mkutano huo umeitishwa na jumuiya ya wanachuo Waislamu waliohitimu masomo katika vyuo vikuu vya Uingereza.
Mkutano huo utabuni na kuchunguza sera za mwaka ujao za Jumuiya ya Kiislamu ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Uingereza na kueneza utamaduni wa Kiislamu na Kiirani kati ya wanachama wake na familia zao.
Mkutano huo pia utajadili jinsi ya kutekeleza maagizo ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ya kuzidisha maarifa ya Kiislamu kwa wanafunzi wa kigeni wa vyuo vikuu hapa nchini. 368417
captcha