Mkutano huo unaosimamiwa na Baraza la Kueneza Amani la Sri Lanka, unahudhuriwa na wawakilishi wa nchi za kigeni, viongozi wa kidini na kisiasa na wawakilishi wa jumuiya za kimataifa.
Mwanafikra wa Kiislamu wa Sri Lanka Dakta Shukri na Maulawi Abdullah Mahmoud, Mwenyekiti wa Baraza la Maulamaa wa Kiislamu ni miongoni mwa watu wanaohutubia mkutano huo. 381000