IQNA

Taasisi ya Elimu ya Juu ya Rennes Ufaransa kutoa masomo ya huduma za benki ya Kiislamu

11:12 - April 04, 2009
Habari ID: 1759896
Taasisi ya Elimu ya Juu ya Biashara ya Rennes nchini Ufaransa imeazimia kuanzisha kitengo cha Huduma za Benki ya Kiislamu.
Kitengo hicho kipya kitasimamiwa na mtaalamu wa masuala ya benki nchini Uingereza Qasin Busalama.
Kitengo hicho kitatoa elimu kuhusu huduma za benki ya Kiislamu.
Mji wa Rennes ambao ni mashuhuri kwa jina la mji wa "Masanamu Matakatifu", uko katika eneo lililoko baina ya miji ya Marne na Champagne-Ardenne nchini Ufaransa. 382102


captcha