Kikao hicho ambacho kinahudhuriwa na zaidi ya mashirika 32 ya misaada kitachunguza na kujadili matokeo ya kikao cha kwanza cha mashirika hayo kilichofanyika huko nchini Senegal mwaka 2008 pambizoni mwa kikao cha 11 cha viongozi wa nchi wanachama wa OIC.
Mashirika 50 yanayoshiriki katika kikao hicho yanatazamiwa kujadili mipango na miundo ya mashirika ya misaada ya kibinadamu ya Kiislamu na pia njia zinazofaa kwa madhumuni ya kuimarisha ushirikiano wao na umoja wa OIC.
Kamati ya utangulizi ya kamati hiyo ilifanya kikao chake siku ya Jumatano kwa ajili ya kuandaa ajenda ya kikao hicho. 382105