Mashindano hayo yanawashirikisha wanaume na wanawake kutoka vituo vya Qur'ani ya Umoja wa Falme za Kiarabu na yataendelea kwa kipindi cha wiki moja.
Hamad Muhammad Abdurrahman ambaye ni miongoni mwa maafisa wanaosimamia mashindano hayo amesema kuwa washindani 210 ambao 120 kati yao ni wanawake wnachuana katika mashindnao hayo.
Washiriki wanashindana kuhifadhi Qur'ani nzima, juzuu 20, juzuu 10 na juzuu 5. 385957