Wanawake wa Kiislamu wanaoshiriki katika mafunzo hayo wanajifunza sheria za fiqhi na misingi ya itikadi za Kiislamu.
Kitengo cha Utamaduni cha Iran nchini Zimbabwe pia kinapanga kutayarisha masomo ya muda ya sheria na itikadi za Kiislamu katika mji wa Kadoma. Shughuli nyingine za kitengo hicho ni pamoja na kuitisha mkutano wa kuchunguza matatizo ya wanawake na mkutano wa kukumbuka siku ya kufariki dunia hayati mam Khomeini. 38842