Kwa mujibu wa Saphirnews, washiriki wa kikao hicho watachunguza tafsiri ya Qur'ani na misingi yake, kuhakiki maudhui mbalimbali kuhusiana na historia ya kuteremka aya za Qur'ani na lugha ya kitabu hicho cha wayhi wa Mwenyezi Mungu.
Abdel Hakim Boussande, mtaalamu wa lugha ya Kiarabu na mhadhiri katika Kituo cha Kiislamu cha Chateau Chinon, atatoa mafunzo ya lugha hiyo kwa washiriki wa kikao hicho ambao hatimaye watapewa vyeti maalumu na vyenye itibari. 399384