IQNA

Kongamano la Kimataifa la 'Amani, Haki za Binaadamu na Dini' kufanyika Iran

9:47 - May 10, 2009
Habari ID: 1776050
Kongamano la Kimataifa la 'Haki za Binaadamu na Dini' litafanyika katika Chuo Kikuu cha Mufid katika mji wa Qum nchini Iran kuanzia tarehe 13-14 Mei.
Katika siku mbili za kongamano hilo, makala tano za wasomi wa Iran na tano za wasomi wa kigeni zitawasilishwa. Wasomi hao watajadili masuala mbali mbali yanayo husiana na amani, haki za binaadamu na dini.
Kiongamano hilo hufanyika mara moja kila miaka miwili katika chuo hicho. 401983
captcha