Duru za masomo za kuchunguza misingi ya kijamii ya Qur'ani Tukufu, zitakuwa zikifanyika kila siku ya Alkhamisi nchini Uingereza ambapo Ali Ramadhan Al-Ausi, mtafiti wa Qur'ani raia wa Iraq na muhadhiri katika Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Masomo ya Kiislamu mjini London katika Kituo cha Kiislamu cha Uingereza.