IQNA

Vikao vya Mwanadamu katika Qur'ani kufanyika mjini London

16:10 - August 08, 2010
Habari ID: 1969342
Vikao vya Mwanadamu Katika Qur'ani vitafanyika mjini London, Uingereza katika kipindi chote cha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Vikao hivyo ambavyo vitafanyika kwa juhudi za Kituo cha Kiislamu cha Uingereza, vitakuwa vikifanyika katika kila usiku wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa muda wa saa moja kabla ya swala za Magharibi na Isha.
Vikao hivyo vitajadili mafundisho ya Qur'ani Tukufu kuhusu mwanadamu.
Vilevile dua ya Iftitah inayosomwa katika usiku za mwezi wa Ramadhani zitakuwa zikisomwa baada ya vikao hivyo na chakula cha futari. 627821
captcha