Kikao cha Sita cha Wanachuo wa Ulimwengu wa Kiislamu kitafanyika Agosti 28-29 katika makao makuu ya Jumuiya ya Wanachuo wa Ulimwengu wa Kiislamu mjini Tehran.
Kwa mujibu wa taarifa a jumuiya hiyo, nara ya kongamano la mwaka huu ni "Umoja, Mapambano, Ulimwengu Bila Uzayuni". Inatazamiwa kuwa makatibu wakuu wa jumuiya za wanachuo kutoka nchi za Kiislamu watashiriki.
633809