Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA, Sayyed Mousawi amesema lengo la kubuni jumuiya hiyo ni kuwaleta pamoja Waislamu na hata wasio kuwa Waislamu ili kukabiliana na kanisa hilo la Marekani ambalo limeamua kuyavunjia heshima matukufu ya Kiislamu.
Itakumbukwa kuwa kanisa moja lenye misimamo ya kufurutu mipaka la Marekani limetangaza kuwa tarehe 11 mwezi huu wa Septemba litaitekeleza kwa moto Qur'ani Tukufu, hatua ambayo inaendelea kulaaniwa kote duniani.
651159