Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA, wanaharakati laki tatu Waislamu na Wakristo katika mtandao wa Facebook tayari wameshatangaza kupinga kuchomwa moto Qurani huko Marekani.
Mbali na wanaharakati Waislamu kupinga kitendo cha kuchomwa Qurani, vile vile kuna kundi lijulikanalo kama, "Wakristo dhidi ya Kuchomwa Qurani" ambao wameanzisha ukurasa wao katika Facebook.
653401