IQNA

Mashindano ya kimataifa ya kukarabati mji mtakatifu wa Makka

12:12 - September 15, 2010
Habari ID: 1994498
Mashindano ya kimataifa ya kupendezesha mji mtakatifu wa Makka yatafanyika kuanzia tarehe 27 hadi 29 za mwezi ujao wa Oktoba kwa himaya ya halmashauri ya jiji la Makka.
Mashindano hayo yanayosimamiwa na Gavana wa Makka Khalid Faisal yanalenga kuupendezesha mji huo mtukufu na kuufanya makumbusho makubwa ya sanaa ya Kiislamu.
Mashindano hayo yatawakutanisha wasanii wenye hamu ya kuhuisha sanaa na turathi za Kiislamu kutoka maeneo mbalimbali duniani. 654772
captcha