Kongamano hilo litakalofanyika chini ya anwani ya 'Faqihi Mwanadamu' litachunguza fikra za kifiqhi za marehemu Ayatullah Fadhlullah.
Huseiniya ya al Mubarak ya Qatif imetangaza kwamba kongamano hilo litahudhuriwa na maulama na wanafikra wa Kiislamu wa madhehebu ya Shia.
Taarifa hiyo imesema kuwa maulama na wanazuoni watachambua na kuweka wazi mitazamo ya mwanachuo huyo wa kidini katika kongamano hilo. 661845