Masomo hayo ambayo yataanza kesho Jumapili yatatolewa na mwalimu mashuhuri wa elimu ya tajwidi wa Qatar Usama al Agha kwa mujibu wa riwaya ya Hafs kutoka kwa Asim.
Usama al Agha amesema masomo hayo ni muhtasari wa taaluma ya Qur'ani kutoka kwenye vitabu vya fani hiyo. Ameongeza kuwa masomo hayo ni fursa nzuri kwa wale wanaotaka kutambua misingi ya elimu ya tajwidi na taaluma ya Qur'ani. 666836