Kwa mujibu wa tovuti ya kituo hicho, sherehe hizo zitafanyika Jumanne tarehe 19 0ktoba kwa kutekelezwa ratiba tofauti.
Wanazuoni, wanafikra na Waislamu wa madhehebu ya Kishia wanaoishi katika mji wa London watashiriki kwenye sherehe hizo ambazo zimepangwa kuanza saa 12.30 kwa wakati wa London mara tu baada ya kuswaliwa swala za Maghrib na Ishaa. 671259