Askari vamizi wa Kizayuni jana Jumatatu walifanya dharau nyingine dhidi ya kitabu kitakatifu cha Qur'ani kwa kuchoma moto nuskha mbili za kitabu hicho baada ya kumtia nguvuni mwanaharakati mmoja wa Kipalestina katika kijiji cha Jews huko katika Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.