Kati ya nchi zinazoshiriki ni Kenya, Iraq, Tajikistan, Uturuki, Argentina, China, Syria, Ufaransa na Palestina. Nchi zingine zinazoshirikia ni Tanzania, Uingereza, Albania, Belarus, India, Croatia, Misri, Lebanon, Korea Kusini, Yemen, Qatar, Libya, Georgia, Kuwait, Kyrgyzstan na Russia.
Nchi zote hizo zina vibanda maalumu vyenye maelezo kuhusu nchi husika.
Kitengo cha kimataifa cha Maonyesho hayo kilianza tarehe 25 Oktoba na kitaendelea hadi Novemba Mosi.
Maonyesho hayo yanafanyika katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini (MA) mjini Tehran.
682704