Akizungumza na IQNA, Mkuu wa uhusiano wa umma katika Shirika la Mafuta la Iran amesema mashindano hayo yalikusudia kusambaza utamaduni na mafundisho ya Qur'ani miongoni mwa wafanyakazi wa shirika hilo pamoja na familia zao.
Mashindano hayo yalikuwa na washiriki 4000 ambapo 141 kati yao walifika fainali.
684901