Kituo hicho kimetangaza kuwa watafiti wake watakusanya biografia na bibiliografia ya wasomi wa karne tatu za kwanza hijria katika juzuu ya kwanza ya ensaiklopidia hiyo.
Orodha ya majina ya waandishi itawekwa kwa mpangilio wa alfabeti. Maelezo kuhusu kila mwandishi yatajumuisha siku na mahala pa kuzaliwa, elimu, safari za kielimu, waalimu na wanafunzi wake pamoja na harakati zake za kijamii na kisiasa.
730693