Kikao kilichpopewa jina la: "Raia Waislamu wa Ulaya, Kutambua Haki, Wajibu na Majukumu" kimepangwa kufanyika Jumamosi ijayo ya tarehe 22 Januari mjini Paris Ufaransa.
Tovuti ya Saphirnews imeripoti kuwa kikao hicho kitahudhuriwa na Kan'an Arogo ambaye ni wakili wa Mahakama ya Paris na Muhammad Larbi Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Urafiki ya Ufaransa (AFAL). 733609