Kituo hicho kilicho na vifaa na suhula za kisasa za mafunzo kina wanafunzi 1400. Kuasisiwa kituo hicho kumeigharimu Idara ya Wakfu ya Swaleh bin Abdul Aziz ar-Rajihi riale milioni 13 za Saudia. Akizungumza katika sherehe za ufunguzi wa kituo hicho Abdul Salam Swalih ar-Rajihi, mmoja wa wasimamizi wa kituo hicho, amesema kuwa kituo hicho ni miongoni mwa mambo ya kheri, na kitawafaidi watu wengi nchini Saudia. 742556