IQNA

Qur’ani ndiyo njia pekee ya kumuokoa mwanadamu

17:28 - February 13, 2011
Habari ID: 2080310
Mufti wa Jumuiya ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu wa Kuwait amesema kuwa njia pekee ya kumuokoa na kumfikisha mwanadamu kwenye ufanisi ni kutumia Qur’ani Tukufu na Hadithi za Mtume Muhammad (saw).
Amesema kuwa Qur’ani Tukufu na Hadithi za Mtume (saw) zimeainisha njia zinazomporomosha mwanadamu na zile zinazomuokoa na kumfikisha kwenye ufanisi.
Mufti wa Jumuiya ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu wa Kuwait ameyasema hayo kwa mnasaba wa kuanza kambi ya Jumuiya ya Kuhuisha Turathi za Kiislamu katika mji wa Jahraa nchini humo. 746956
captcha