Mashindano hayo yatakayoendelea kwa muda wa siku mbili yana jumuisha makundi 30 ya washiriki kutoka nchi 21.
Chuo Kikuu cha Imam Khomeini kinafungamana na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa.
Abdul Reza Sharifi Mkurugenzi wa Idara ya Qur'ani na Hadithi katika Chuo Kikuu cha Imam Khomeini amesema awamu hii ya mashindano imeshuhudia ongezeko kubwa la washiriki ikilinganishwa na mwaka jana.
Ameongeza kuwa mashindano hayo yatajumuisha qiraa, hifdhi, adhana na dua.
746704