Kituo cha habari cha bcmuslims kimeripoti kuwa mashindano hayo yatafanyika Aprili 16 na 17 katika awamu mbili za utangulizi na awamu ya mwisho.
Mashindano hayo yatajumuisha hifdhi ya Qur'ani na watu wa umri tofauti wanaruhusiwa kushiriki.
Muhula wa mwisho wa kujiandikisha ni tarehe 3 Aprili.
Zawadi nono zitatolewa kwa washindi wa mashindano hayo. 749021