Hatua ya mwisho ya duru ya tano ya mashindano ya hifdhi ya Qur'ani Tukufu yaliyopewa jina la Rashid al-Mualla, ambayo ni maalumu kwa wanafunzi wa shule za serikali na binafsi yamepangwa kufanyika tarehe Mosi Mei huko katika mji wa Umm al-Qiwein katika Umoja wa Falme za Kiarabu.