Hiki ni kikao cha kwanza katika mfululizo wa vikao kuhusu mada hii.
Dkt. Salar Manafi na Dr. Hussein Mollanazar ni kati ya watakaohudhuria kikao hicho ambacho kimeandaliwa kwa ushirikiano na Chuo Kikuu cha Mafunzo na Sayansi za Qur'ani.
Kikao hicho kitakuwa huru kwa wale wote wanaohusika na masuala ya Qur'ani au wasomaji wa kawaida.
784875