Maonyesho hayo yaliyoanza Jumamosi 14 Mei yataendelea hadi 26 Mei na yanajumuisha michoro ya kisanaa kuhusu turathi za Kiislamu iliyochorwa na Zine Al Abidine al Alwi kutoka Morocco.
Katika mkuu wa OIC ametembelea maonyesho hayo na kusema kuwa OIC inazingatia kwa kina turathi ya pamoja na utamaduni wa nchi za Kiislamu ili kwa njia hiyo mshikamano uweze kupatikana.
Ihsanoglu amesema maonyesho hayo yanafanyika wakati wa kukaribia kikao cha Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa OIC huko Astana Kazakhstan.
792538