Viongozi wa makanisa ya Marekani wametangaza kuwa wataandaa vikao vya Qur'ani na vitabu vingine vya mbinguni katika makanisa ya nchi hiyo mwezi Juni kwa madhumuni ya kupambana na ubaguzi na chuki dhidi ya Uislamu na vilevile kuimarisha ushirikiano kati ya wafuasi wa dini tofauti.