Kwa mujibu wa gazeti la Gulf Daily zaidi ya wanafunzi wa kike wapatao 300 kutoka kote nchini humo walishiriki katika hatua ya kwanza ya mashindano hayo ambapo wanafunzi 100 kati yao walichaguliwa kushiriki katika hatua ya mwisho.
Walioshinda katika hatua hiyo ya mwisho ndio walioenziwa katika sherehe iliyofanyika jana katika shule ya Ibn Haitham. 808001