Licha kuwepo njama za Wazayuni za kupunguza idadi ya waumini wa Kipalestina katika Msikiti wa Al Aqsa katika Ijumaa ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, zaidi ya Waislamu laki moja walifanikiwa kufika katika msikiti huo na kusimamisha Sala ya Ijumaa.