IQNA

Wanaharakati wa Morocco wapinga kufanyika kikao cha Holocaust

16:41 - October 11, 2011
Habari ID: 2202899
Wanaharakati wa Morocco wanaopinga kuboreshwa uhusiano wa nchi hiyo na utawala haramu wa Israel wamepinga vikali kufanyika kikao cha Holocaust katika moja ya vyuo vikuu vya nchi hiyo.
Wanaharakati hao wamepinga vikali kikao hicho kilichopangwa kufanyika katika Chuo Kikuu cha Akhawein kilichoko mashariki mwa Rabat.
Jumuiya ya Mfungamano wa Morocco na Palestina imemtumia barua mkuu wa chuo hicho ikihoji iwapo amesahau jinai za utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina katika zama zilizopita na za hivi sasa na kuamua kuandaa kikao hicho cha aibu cha Holocaust katika ardhi ya Morocco.
Barua hiyo inasema kwamba hata kama uandaliwaji wa kikao hicho haukiuki ushirikiano wa Morocco na utawala wa Israel kwa mujibu wa mapatano ya kimataifa lakini ni wazi kwamba unakwenda kinyume na misingi ya maadili na thamani za taifa la Morocco na kwamba chuo kikuu hicho kinapasa kuheshimu thamani hizo.
Gazeti la Kizayuni la Haaretz lilitangaza hivi karibuni kwamba kikao hicho kimepangwa kufanyika katika chuo kikuu hicho ambacho kinatoa masomo kwa msingi wa mbinu za Marekani.
Hadi sasa makumi ya wanahistoria mashuhuri duniani wamevunjilia mbali fikra na hoja kwamba Wazayuni milioni 6 waliuawa kinyama na Adolf Hitler kwenye matanuri ya gesi katika kipindi cha Vita vya Pili vya Dunia huko Ujerumani, hoja ambayo inatumiwa na Mayahudi kudumisha jinai na sera zao za kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestima. 877208
captcha