Kwa mujibu wa Sphirnews, programu hiyo imeandaliwa na Taasisi ya Utafiti wa Kiislamu (Institut des Hautes Etudes Islamiques) kwa ushirikiano na Shirika la Kiislamu la Elimu, Utamaduni na Sayansi (ISESCO) pamoja na Idara ya Masomo ya Mashariki katika Chuo Kikuu cha Strasbourg.
Sherehe ya ufunguzi itahutubiwa na Mona Khazindar Mkuu wa Taasisi ya Ulimwengu wa Kiarabu mjini Paris, Bariza Khiari Naibu Spika wa Baraza la Senate Ufaransa na Dr. Abdulazizi Othman Altwaijri Mkurugenzi Mkuu wa ISESCO.
897059