Hayo yamesemwa na Hujjatul Islam Sayyid Ali Taheri Mbunge na mwanachama wa Tume ya Utamaduni katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran.
Amesema vyombo vya habari vya Kiislamu vilifanikiwa kueneza habari za mwamko wa Kiislamu na hivyo kuangusha ubeberu wa vyombo vya habari vya kimagharibi.
Hujjatul Islam Taheri ameashiria kampeni chafu za vyombo vya habari vya Magharibi dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kusema kampeni hiyo imefeli kutokana na kuenea vyombo vya habari vya Kiislamu duniani.
905598