IQNA

Programu ya 'Jamiu'l Fiqh al Islami' yazinduliwa Algeria

15:53 - November 28, 2011
Habari ID: 2230510
Programu ya kompyuta ijulikanayo kwa 'Jamiu'l Fiqh al Islami' kwa lugha ya Kiarabu imezinduliwa Algeria.
Programu hiyo inajumuisha masuala ya kifiqhi pamoja na kamusi ya misamiati ya Kiislamu na masuala yanayohusiana na tiba ya Kiislamu, falsafa, fasihi nk.
Programu hiyo inajumuisha maelezo yenye thamani na kamili kwa ajili ya kutumiwa na wanachuo wa fiqhi pamoja na wengine wanaojihusisha na fiqhi.
Aliyetayarisha programu hiyo amewahi kuchapisha vitabu muhimu kuhusu fiqhi ya madhehebu ya Kiislamu.
905506
captcha