IQNA

Muhammad (saw), neno lililotafutwa zaidi katika Google mwaka uliopita

19:00 - January 03, 2012
Habari ID: 2250757
Pakistan imeshika nafasi ya kwanza duniani katika kusachi jina la Mtume Muhammad (saw) katika mtandao wa Google mwaka uliopita wa 2011.
Tovuti ya Tribune imeripoti kuwa ripoti mpya ya ProPakistan inaonesha kwamba baada ya jina la Mtume wa Uislamu Muhammad (saw), maneno ya 'Uislamu' na Qur'ani ndiyo yaliyotafutwa zaidi ya Wapakistan katika mtandao wa Google katika mwaka uliomalizika siku chache zilizopita.
Miji ya Karachi, Islamabad na Lahore inashika nafasi ya kwanza hadi tatu kati ya miji yote ya dunia iliyotafuta neno "Qur'ani" katika mtandao wa Google. 928084
captcha