Kwa mujibu wa taarifa kwa waandishi habari iliyotolewa na wizara hiyo, mashindano hayo yanafanyika katika fremu ya kusherehekea matukio ya kihistoria katika kalenda ya Kiislamu. Mashindano hayo ya Qur'ani yanafanyika kwa mnasaba wa kuadhimisha Siku ya Kitaifa ya Nuzulul Qur'ani.
Mashindano hayo yanalenga kuwahimiza Waislamu nchini humo na hasa watoto, wanafunzi na vijana kujikurubisha zaidi na Qur'ani. Mashindano hayo yatakuwa na vitengo vinne
947819