Waandamanaji walimwagika mitaani na kushiriki kwenye maandamano makubwa mara tu baada ya kuenea habari za kutiwa mbaroni mwanazuoni huyo, ambapo watu watatu waliuawa kwa kupigwa risasi na askari usalama na wengine kudhaa kujeruhiwa.
Askari usalama wa Saudi Arabia walimtia mbaroni mwanazuoni huyo hapo jana alasiri baada ya kutumia nguvu na kumjeruhi.
Askari hao walifyatulia risasi gari lililokuwa limembeba mwanazuoni huyo na kulipelekea kugonga ukuta wa moja ya nyumba zilizokuwa karibu na kisha kumkamata. 1048191