Wafanyamgomo hao wametaka kujengwa upya makaburi ya Maimamu na masahaba wa Mtume (saw) na kutovunjiwa heshima eneo hilo linalozuriwa na Waislamu.
Raia hao wa Iraq pia wamesisitiza juu ya udharura wa Mawahabi kuacha kuvunjia heshima matukufu ya Kiislamu.
Mgomo huo umewashirikisha wanaharakati wa kidini, maulamaa na matabaka mbalimbali ya wananchi wa Iraq.1087042