Kozi hiyo imeanza sambamba na shughuli za Wiki ya Qur’ani ambayo pia imeandaliwa na kituo hicho cha utamaduni katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Kwa mujibu wa mwandishi wa IQNA, kozi hiyo itaendelea hadi mwisho wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani (Julai 18).
Baada ya kumalizika kozi hiyo ambayo ina vitengo tafauti vya waalimu wa kike na kiume, kutakuwa na mtihani na watakaofuzu watapata vyeti katika taalaum ya kufundisha Qur’ani.../mh