IQNA

21:51 - April 20, 2021
News ID: 3473834
TEHRAN (IQNA)- Katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ambao ni mwezi wa rehma, maghfira na kuokolewa kutoka moto. Pia ni mwezi ambao iliteremshwa Qur’ani Tukufu.

Katika mwezi huu, Waislamu kote duniani hukithirisha qiraa ya Qur’ani Tukufu misikitini na majumbani. Hizi hapa ni picha za baadhi ya Waislamu wakiwa katika vikao vya qiraa ya Qur’ani Tukufu mwezi huu.

 

 

Tags: qiraa ، qurani ، ramadhani
Name:
Email:
* Comment:
* captcha: