IQNA

Klipu ya Mkuu wa Diyanet, Uturuki akiadhini Bulgaria

13:25 - June 24, 2021
Habari ID: 3474039
TEHRAN (IQNA)- Ali Erbas Mkuu wa Idara ya Masuala ya Kidini Katika Ofisi ya Rais wa Uturuki (Diyanet) hivi karibuni aliadhini akiwa ameandamana na Qarii mashuhuri wa Uturuki Othman Shaheen.

Erbas aliadhini akiwa safarini Bulgaria mjini Plovdiv katika Msikiti wa Muradiya na klipu hiyo imewavutia wengi katika mitandao ya kijamii.

Taasisi ya Diyanet ya Uturuki hujishughulisha na usimamizi wa masuala ya Qur'ani na kidini nchini humo na maeneo mengine duniani.

3979576

Kishikizo: erbas ، diyanet ، uturuki
Jina:
Baruapepe:
* maoni:
captcha