IQNA

16:02 - July 20, 2021
News ID: 3474114
TEHRAN (IQNA)- Tarehe 9 Dhul Hijja inajulikana kama Siku ya Arafah

Katika siku hii ambayo huja kabla ya Siku Kuu ya Idul Adha, mahujaji  katika Mlima Arafat kuanzia mapema mchana hadi Magharibi katika ibada inayojulikana kama 'Wuquf Arafat'

Hii ni siku adhimu kwa Waislamu ambapo wao huswali na kukithirisha duaa na tawba.. Inashauriwa kusoma Ziara maalumu ya Imam Hussein AS katika siku hii.

 

 

 

Name:
Email:
* Comment:
* captcha: